habari wakuu na poleni na mahangaiko.
leo mimi third eye kuna jambo limenifurahisha sana hivo nimeskia kupekua faili kidogo ili niwaguse watu wa betting, kwanini niwatu wa betting..hili nikundi la watu wanao pitia maumivu makubwa sana.
odds hizi utapata kalibia 3 au 4 kulingana na kampuni yako utakayo tumia.
hizi team nakupangia hapa muda huu saa 2 nazo zinacheza saa3 na nusu leo hii.
ligi argentina 2 deportivo madryn vs ca atlanta muda saa 3.30 usiku hii gem mpe wa nyumbani ashinde odds 2.00
italy,serie b. sampdoria genoa vs us salernitana muda saa 3.30 usiku .hii gem cheza gg odds 2.00
chukua fulsa hii furahia, kua shuhuda kashuhudie.