Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Wabrazil wameyakamia vibaya sana mashindano haya kuonyesha dunia wao sio wa mchezo mchezowatu baada ya kuona PSG kamwacha Botafogo RJ mbali sana kwa rank ya dunia. wakajisahau wakastake high wakampa PSG. wamesahau kwamba Brazil ndipo kwenye vipaji vya mpira.
wamesahau ya Fluminense vs. Dortmund, Boca Juniors vs. Benfica na Palmeiras vs. Porto.
Ila hizi ni mbio za sakafuni tu, hakuna timu itatoboa robo fainali