othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,714
- 12,239
Hii game ya munich mbona haiishi *****
😀😀 vipi mkeka umetiki mkuu?Bayern toeni timu uwanjani refa ana lake jambo
Bado madrid na psg kesho naamka na mia57 kikubwa dua tu maana sio kwa mikeka kuchanika leo😀😀 vipi mkeka umetiki mkuu?
Kila la kheriBado madrid na psg kesho naamka na mia57 kikubwa dua tu maana sio kwa mikeka kuchanika leo
Nime stake 50 hao wahuni wakiniangusha kesho msala.Kila la kheri
Psg anataka kufanya ukatiliAsante psg umeanza vizuri
Utatoboa huo...PSG tayari uhakika Madrid nao uhakika...we kesho unachekelea tuBado madrid na psg kesho naamka na mia57 kikubwa dua tu maana sio kwa mikeka kuchanika leo
mungu mwema yaan dakika za jiooonKuna hatihati Napoli akanichania mikeka yote mamamaye.
Ndio nimeshituka hapa naona won maana nikivyoona dakika ya 84 hakuna goal nikachomeka simu chaji tu nidunge sikumungu mwema yaan dakika za jiooon
157k au 157 ya kunulia pipi ivory 3 na kubaki na shilingi 7¡Naamka muda huu saa 8:55 nakuta akaunti yangu inasoma.157, muhindi uishi miaka 100
Peleka fb kwa watoto wenzako wanuka mkojo jukwaa ili la watu wanaojitambua hatutaki taarabu weka code watu wafuate taarabu peleka fbNiaje wadau kiukweli mm nina chimbo la fixed matches limelipata kuna jamaa mmoja mgiriki hivi anauza sure games ila ni pesa ndefu kidogo lakini jumanne nilimlilia sana kwamba nashida akanipa game 1 ina odds 10 correct score akanambia nistake more nikatatue shida zangu pia nipate pesa ya kumlipa, ila kutokana na kutokuwa na pesa nilistake 10k tu ndugu zangu alaf game ikawin kwel yaan najuta now na jamaa haelew amekazana anataka pesa ndo tufanye biashara kwahyo nmekuja hapa tupate hata watu 10 tuchange hata 50k kila mtu tuchukue tufanye nae kazi, pia nime attach hyo game
SawaPeleka fb kwa watoto wenzako wanakuka mkojo jukwaa ili la watu wanaojitambua hatutaki taarabu weka code watu wafuate taarabu peleka fb