Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Niaje wadau kiukweli mm nina chimbo la fixed matches limelipata kuna jamaa mmoja mgiriki hivi anauza sure games ila ni pesa ndefu kidogo lakini jumanne nilimlilia sana kwamba nashida akanipa game 1 ina odds 10 correct score akanambia nistake more nikatatue shida zangu pia nipate pesa ya kumlipa, ila kutokana na kutokuwa na pesa nilistake 10k tu ndugu zangu alaf game ikawin kwel yaan najuta now na jamaa haelew amekazana anataka pesa ndo tufanye biashara kwahyo nmekuja hapa tupate hata watu 10 tuchange hata 50k kila mtu tuchukue tufanye nae kazi, pia nime attach hyo game
 

Attachments

  • IMG-20250827-WA0001(1).jpg
    37.2 KB · Views: 27
Peleka fb kwa watoto wenzako wanuka mkojo jukwaa ili la watu wanaojitambua hatutaki taarabu weka code watu wafuate taarabu peleka fb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…