Kaninyima 178k nimekesha kwa ajili yake Hapa nilipo najitukanaIntermilan qumlamamyake
Tushirikiane kiongozi roll over ndio vitu vyanguTarehe moja leo nimeaanza roll over kwa buku 5 .nitaleta mrejesho hapa.nimeanza na mechi za alfajiri za marekani huko.
Tips
*No direct win, no double chance, no number of goals.
*Corners na shots on target tu!
*Maximum odds 1.5
Nilianza alfajiri ya leo!Tushirikiane kiongozi roll over ndio vitu vyan
Ungependa rollover ya odds 1.1..Tushirikiane kiongozi roll over ndio vitu vyangu
Umefika siku ya ngapi?Ungependa rollover ya odds 1.1..
Nimebet siku 14 leo ya 15. Hizo za nyuma zote zimetoaUmefika siku ya ngapi?
Hii stake iwe nzito kidogoUngependa rollover ya odds 1.1..
Haha hii hainishindiUngependa rollover ya odds 1.1..
100k kwa faida ya 10Hii stake iwe nzito kidogo
Kuna 2m hapa100k kwa faida ya 10
Faida 200kKuna 2m hapa
😂😂😂😂Yani watu kipindi cha kwanza kona 6 kipindi cha pili wamecheza kama mazombi kona ya 7 imepatikana dakika ya nyongeza kazi ngumu hii wazee wameninyima hela ndefu sana