Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tarehe moja leo nimeaanza roll over kwa buku 5 .nitaleta mrejesho hapa.nimeanza na mechi za alfajiri za marekani huko.
Tips
*No direct win, no double chance, no number of goals.
*Corners na shots on target tu!
*Maximum odds 1.5
Tushirikiane kiongozi roll over ndio vitu vyangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…