Yani watu kipindi cha kwanza kona 6 kipindi cha pili wamecheza kama mazombi kona ya 7 imepatikana dakika ya nyongeza kazi ngumu hii wazee wameninyima hela ndefu sana
Nilivyoona kona 6 kipindi cha kwanza sikutaka kulala nilikuwa nasubiri ushindi huo mzee kona zilibaki hizohizo hadi dakika ya 93 ndio ikipatikana kona 1 jumla zikawa 7 na mkeka umechanika!ππππ
Mzee kuna ligi ya india , Kazakhstan wanawake, Australia wanawake na ligi vijana (under 23) ukiziua magoli kwenye hizo ligi inakula kwako bora utumie over ndio option nzuri.Unapoyakataa magoli
View attachment 3462138
Ai score wanasema mechi iko pendingView attachment 3462704
Wazee hiyo mechi ya pili imekuaje? Kuna mtu kaibetia? Mbona hamna update yoyote? Hata kwenye app za live updates wameandika "fulltime results only" yani hamna kitu! Kuna anayeelewa kilichotokea?
Roll over yangu hii day two halafu hadi sasa hivi bilabila yaniAi score wanasema mechi iko pending
Subiri refund
Usibet kutusua....bet kama burudani. Mimi naenda nayo mdogo mdogo nataka nione after 90 days nakua na ngapi. Nimeanza na 5kHii stake iwe nzito kidogo
Inatoa vizuri tu. Kuanzia kesho nataka nianze nyingine ya pili ya odd 1.2 - 1.9 kutokana na uchambuzi wangu. Hii nitaifanya siku 30 kwa mtaji wa 1000Haha hii hainishindi
Na mim nianze leoInatoa vizuri tu. Kuanzia kesho nataka nianze nyingine ya pili ya odd 1.2 - 1.9 kutokana na uchambuzi wangu. Hii nitaifanya siku 30 kwa mtaji wa 1000
Leo ya 1.1 tayari kama vipi nianze kushare keshoNa mim nianze leo
Anacheza nini? Au ndio pre seasons?Leo kidogo nijichanganye kwa singida black stars
Kagame cup wametoka sareAnacheza nini? Au ndio pre seasons?
Ni burudan tuUsibet kutusua....bet kama burudani. Mimi naenda nayo mdogo mdogo nataka nione after 90 days nakua na ngapi. Nimeanza na 5k
Tunaanza leoNi burudan tu
Nnayo 2m yaburudani anza kushare
View attachment 3462080
LUNCH TICKET ON MELBET
Code π D9RM1
Bet Melbet Hapaπ https://mlbt.cc/4lzaofV
https://mlbt.cc/4lzaofV
Promo Codeπ TIPS2424
π Pata Bonus Ya Mpaka 285000 Ukijisajili Kwa Kutumia Promo CodeπTIPS2424 Ukidepost Kwa Mara Ya Kwanza.
Download APK: https://mlbt.cc/44B9h9p