Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,978
- 12,641
Mikeka
Kampuni gani hio?
Hongera mkuu... weekend ilikua ya Moto hii kubeti sometimes kunaweza leta upungufu WA nguvu za kiume
Oy. Eeh Hongera mkuu
Hata kupata goli tu daah...Paris Saint Germany
Taabu ipo palepale.Hata kupata goli tu daah...
Jipoze kwa kuangalia Ballon Dor .Nilale tu
psg kapita na wengi daahHii psg .😁 bora nilivyo ipa home golo moja ingenichania mkeka wangu wa vocha
Chai ya rangi ya moto, Psg kakimbia na vitafunwa.Mikeka imeamkaje?