Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Daah mamamaaaake hii... mechi tume fixiwa mnooo... Daaah wametembea na mzigo mrefu sana *****... Picha linaanza imepigwa timeout siyo kawaida zaidi ya dakika 4... Inaelekea walikuwa wanapigwa pakubwa sana hii mechi ... Baada ya kurudi ... Wajinga hawajafunga hata kikapu mpaka watu wanafika 28-8 asseeeee....