Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 3,240
- 5,625
Wewe ndo yule wa Facebook?
Wewe ndo yule wa Facebook?
Toa hiyo mkuu, weka game hela zingine utashukuru sana, kiasi chako kimevuka shauli yako kanji,gambachori sio
Dah! Jamaa una balaa sana mkuuLeo kutest tu mitambo mambo safi
Hapa kama sita mpiga kanji basi tenaDah! Jamaa una balaa sana mkuu
Buku buku mara 20 gaiziiii gaiziii ni cash outUnapotezq muda tu kutengeneza mkeka ili ule buku buku!
Huo wa mwisho ufikirieNina mikeka 4 tu ya kimikakati ambayo ipo katika formation ya loss to win
Vipi ulitoa huo au vipiBuku buku mara 20 gaiziiii gaiziii ni cash out
Asee siyo poa, yaani wamejazana master tu bila kucheza Mpira.Madrid ni genge la waimba taarab