Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu nabet kupitia Sportpesa nimetafuta uliponielekeZa kuweka odds sijapaona.
Hauko serious... Ukiingia tu sportybet upande wa chini kulia utaona sehemu imeandikwa BETSLIP imeambatana na alama ya 0 yenye mduara mwekundu...
Bofya hapo weka code mkeka utatokea
 
🀣 🀣 Mkuu upo kama Mimi nikizidisha Tatu tu naona risk Yake kubwa,, odds mlima nazoaga tu za Lwiva Mimi nikiandaa hazitoboi
DΓ h mkuu hatari leo nimedandia odds mlima za mtu halafu mechi ya kwanza tu Marseille anakula kadi nyekundu 2 anachana mkeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…