Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu msaada tafadhari nataka ni withdraw pesa melbet lakin wananiambia natakiwa ni activate number kwenye Account

Tatizo hawanitumii Activation code nimejaribu mara 3 na Sasa wananiambia activation requests have exceeded ni try Tena later nifanyaje have nichomoe mpunga huu
 
Aisee nimefanikiwa nashukuru sana
 
Mkuu na mimi nilitoa hela asubuhi bado sijapata. Niliwasiliana nao walisema kuna tatizo la mtandao kwao. Waliniambia wapo wanarekebisha. Hii ni sehemu ya chat nilizo fanya nao asubuhi saa 4👇
View attachment 3541767
Mkuu, Mwenzangu umefanikiwa kuwekewa pesa yako..? Me hadi sasa hola, nashindwa kubet leo nikitaka niweke paripesa hiyo hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…