Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Angalizo!: hii code usiiwekee 1000 ama 500 ukitegemea kwamba utakula!....

Mimi nimesteki for fun... kujifurahisha tu...kile ninachoweza ku-afford kupoteza..

Anyway usiige kunya kwa tembo!
Usije ukaweka Jero yako ya bando ukitegemea kuokota chochote humu...tusilaumiane!
View attachment 3541418
Cha muhimu mkeka uwe unapumua ukichana Kuna option ya rebet
 
Hawa Fansport mbona wanasumbua kwenye kutoa hela

Mkuu guoguo nipe uzoefu katika hili maana we ni Mtumishi wa Fansport
🤣🤣🤣 Huyo hapendi kuitwa wakla wa kanji ..namba uliyotumia kurequest withdraw ndio hiyohiyo uliyotumia kudeposit? Majina na namba ya kitambulisho vinaendana? Kama majibu yote ni ndio basi sijui tatizo ni nini! Ila kama kuna mkanganyiko wa taarifa kama nilivyokuuliza hapo juu basi hiyo shida nadhani umenielewa
 
Ukitumia kubeti kampuni ambayo haijasajiliwa Tanzania uwe tayari kwa lolote ukipata tatizo usilete huku walishaonya sana humu!
Mkuu guoguo nipe uzoefu katika hili maana we ni Mtumishi wa Fansport
🤣🤣🤣 Huyo hapendi kuitwa wakla wa kanji ..namba uliyotumia kurequest withdraw ndio hiyohiyo uliyotumia kudeposit? Majina na namba ya kitambulisho vinaendana? Kama majibu yote ni ndio basi sijui tatizo ni nini! Ila kama kuna mkanganyiko wa taarifa kama nilivyokuuliza hapo juu basi hiyo shida nadhani umenielewa
Hapo ni typing error tu Mkuu, nilikuwa namaanisha "Mtumiaji" na sio "Mtumishi" maana Huwa anawekaga code mara mojamoja za Fansport
 
Wakuu hivi 1xbet wanatumia mitandao ya Tanzania kama Vodacom, halotel, Airtel, Yas kuweka na kutoa pesa..?
 
Mkuu na mimi nilitoa hela asubuhi bado sijapata. Niliwasiliana nao walisema kuna tatizo la mtandao kwao. Waliniambia wapo wanarekebisha. Hii ni sehemu ya chat nilizo fanya nao asubuhi saa 4👇
View attachment 3541767
Sawa mkuu, mwenyewe nimewasumbua sana hadi nahisi wananiona kero. Ngoja kesho asubuhi tuone
 
1770694785108.png
 
View attachment 3541564
BET OF THE DAY ⚽

Kampuni: PariPesa

Code👉 U9LPA

📌 Jisajili PariPesa Kwa Kutumia Promo Code👉 SASA1 Upate Bonus Ya 300%

Jisajili Hapa 👇

https://paripesa.bet/tips2424

https://paripesa.bet/tips2424

Promo Code👉 SASA1
2phlkt.jpg

BOOOOOOOM ✅✅✅✅✅✅✅✅✅

1.1 MILLION ✅✅✅✅✅✅✅✅✅ 🔥🔥

📌Jiunge PariPesa Kwa Kutumia Promo Code Jaza 👉 SASA1 Uanze Kushinda Nasi.

Jiunge Hapa 👇

https://paripesa.bet/tips2424

https://paripesa.bet/tips2424

Promo Code👉 SASA1
 
Back
Top Bottom