Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo nimekuja na hiki kidogo odd 9 tu tamaa sio nzuri tutafute mtaji wa wiki ya kesho 🫡
11271.jpg
 
Mkeka kama huu hata ukichanika lazima uwe na tabasamu 😇😇 tena unaweza kuendelea kuufanyia positive edit...hili kushusha odds hadi kama 100 hivi

6HVKE7
Huu wa jana bado unapumua na edit zake zote zip hai ....sasa huu ni waleo leo wote ...ukishinda unakunja pesa yako saa 6 usiku adriz FaizaFoxy Al-mukheef nasubiri milioni 7 zangu 😇😇😇

6130F2
 

Attachments

  • Screenshot_20260208-133119_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260208-133119_SportyBet.jpg
    69.4 KB · Views: 23
Mechi ya PSV EINDHOVEN FC naombeni mtani tag ikiisha maana nimempa win draw , ila mpaka Sasa hola kashalazwa kimoja kipindi cha kwanza ,


Sito angalia flashscore , walahi mtumee
 
Mechi ya PSV EINDHOVEN FC naombeni mtani tag ikiisha maana nimempa win draw , ila mpaka Sasa hola kashalazwa kimoja kipindi cha kwanza ,


Sito angalia flashscore , walahi mtumee
Unavua samaki alafu unaacha kokoro Kwa watu
 
Nawashukuru melbet kwa kunipa free bet ya 8800 siku ya jana, imenipa hela weekend hii. Kumbe hawa jamaa ukipewa freebet mkeka ukitiki hawakati ule mtaji naona imekubali kutoa yote
 

Attachments

  • Screenshot_20260208-222112.png
    Screenshot_20260208-222112.png
    470 KB · Views: 27
Back
Top Bottom