Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Saved code Betpawa...

Nitaichakata nikichakata salio kwa account...nikitoka mzigoni saa 10.
1000079191.jpg
 
Hizi game KWENYE keka zako unazipenda sana Kila siku naziona kama zipo unapenda kuziweka match mbaya sana hizi hazitabiliki mara ziwe juu mara zinflop
Nimekuelewa sana mkuu, zimekuwa na consistency ya
1000079205.jpg
kunichania sana....from now onwards!... you'll never ever see them in my codes!

Sichezi ligi ndogo now!....

Nitaishi humu kesho!👇👇
 
Back
Top Bottom