Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pk ur best thx
Nottingham
Genk
Fiorentina
Stuttgart
Direct wins tawe
 

Attachments

  • 1772095029114.jpg
    1772095029114.jpg
    68.3 KB · Views: 16
  • 1772095006216.jpg
    1772095006216.jpg
    150.5 KB · Views: 19
  • Screenshot_20260226-111411_Lite.jpg
    Screenshot_20260226-111411_Lite.jpg
    201.6 KB · Views: 13
  • Screenshot_20260226-111225_Lite.jpg
    Screenshot_20260226-111225_Lite.jpg
    170.5 KB · Views: 17
Mkuu samahani mbona nashindwa kubadili password kwenye Betway wakati nafata njia zote aisee. Nikishafika kwenye kuweka password mpya nikigusa kuthibitisha haifanyi chochote inakaa hapo hapo hakibadiliki kitu kiongozi. Nimefanya kwenye simu na kompyuta. kote panaishia hapo hapo kaka unaweza kunisaidiaje hapo mkuu...?
 
Toa mkuu....
Daaah utatuokoa sana 😂😂😂😂
Mkuu samahani mbona nashindwa kubadili password kwenye Betway wakati nafata njia zote aisee. Nikishafika kwenye kuweka password mpya nikigusa kuthibitisha haifanyi chochote inakaa hapo hapo hakibadiliki kitu kiongozi. Nimefanya kwenye simu na kompyuta. kote panaishia hapo hapo kaka unaweza kunisaidiaje hapo mkuu...?
 
Sawa,

Ndio maana humu wakati mwingine mtu unaamua kuweka kuza cashout code tu za 100 mia tu, utasubiri ule mpaka yesu arudi!
Humu sometime jau sanaa ndio maan kuna kipindi uzi unapoa kwa sababu ya baadhi ya watu kujifanya wajuaji maana jukwaa hili la ubashiri na kutoa maoni yako kuhusu betting sasa ishu ya kukatishana tamaa kupost Code humu sio jambo zuri yaani mtu ameandaa mkeka kwa muda wake then zinatupiwa humu na mtu ana option ya kuedit na akarudi kutupia code tenaa inaonekana tatizo #Tubadilike wakuu tuachane na ujuaji
 
Kuna hii option ya "Own goal" naona ni nadra kutokea hasa ukiweka No japo odds ni ndogo ila kwanini baadhi ya kampuni hazitaki ku-accumulate wanafosi single bet tu.
Kuna kampuni mnaifahamu inaruhusu mkeka hii option..?
 
Back
Top Bottom