Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ni ngumu Kutumia au?
Unapojisajili wanasema uweke namba ya simu, ukitaka ku-login wanataka uweke ID au E-mail ukiweka namba uliyotumia kujisajili inagoma halafu wanakupa optins ambazo hukutumia kwenye registration...!

Nikasema niachane nayo tu ndugu.
 
Jana nilikuwa na mikeka miwili tu mmoja nilipost ukawin na huu wa pili siku upost niliona matreni marefu ninayo post yana chanika.... imechana moja...ningempiga kanji ..
LEO NASUKA MATRENI YA ODDS ZA KULA MAMILION😇
 

Attachments

  • Screenshot_20260228-095749_SportyBet.jpg
    72.4 KB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…