Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hatujui siku wala saa adriz FaizaFoxy Al-mukheef Jagina Covax ....wacheni urafi wa kula saa 10 usiku kisha mnakunja uso asubuhi kuwa mna njaa na msimwone yoyote hata asiye muislamu anaye kula ...kwani wakati mnakula daku usiku mlikula na wasio waislamu hadi wao wafunge mchana wacheni uanithi wa akili .. kazi ya sh 416 mzingo milioni 79 waleo leo wote edit iendelee


5WS0SG
 

Attachments

  • Screenshot_20260228-112707_SportyBet.jpg
    70.8 KB · Views: 18
Code nilikosea ni hii ..chekini zilizopo live kabla ya kucheza

5WS0SG
 
Kajifundishe kutumia r na l. Kwanza. Urafi ndio lugha gani ? Kihindi ?
 
Kwa levante ulipatia
 
Hizo No na Yes ndo vitu gani sasa!?
 
Baada ya mkeka kuchana wa 10k nikasema ngoja nimfate atletico kwa 100k nae nusu aniuwe yaani goli limepatikana dkk ya mwisho kibahati bahati tu atletico sio timu
 

Attachments

  • Screenshot_20260301_005654_Chrome.jpg
    146.3 KB · Views: 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…