Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Wapi nimesema ni sure bet hiyo?Hizi sijui sure bet au correct score.
Ukichoka tu mwenyewe utaacha.
Ila Sio mpango kabisa kaka.
Wapi nimesema ni sure bet hiyo?Hizi sijui sure bet au correct score.
Ukichoka tu mwenyewe utaacha.
Ila Sio mpango kabisa kaka.
Huu mkeka naona kama umetoa mkuu, au sio051GCJD, odds 140, betpawa
View attachment 3559654
Sio gundu mkuu iyo haikua bahati yako, usichokeKila siku nachaniwa na timu tu
Hili gundu nalipndoaje?
Naomba ushauri wa mawazo
Sio mara 1Sio gundu mkuu iyo haikua bahati yako, usichoke
Hapana, zilichana game mbili hapo mkuu labda kama kuna mtu aliedit vizuri.Huu mkeka naona kama umetoa mkuu, au sio
Dooh, mkeka ulikuwa umenyooka sana aiseeHapana, zilichana game mbili hapo mkuu labda kama kuna mtu aliedit vizuri.
Yeah ulikuwa umenyooka vibaya mno kakaDooh, mkeka ulikuwa umenyooka sana aisee
Jaribu kubadili market unazotumia.Kila siku nachaniwa na timu tu
Hili gundu nalipndoaje?
Naomba ushauri wa mawazo
Tumia 1 cutJaribu kubadili market unazotumia.
Hapa inambidi stake iwe mlima kidogo faida ndo ataiona.Tumia 1 cut