Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kanji kachanganyikiwa cashout inazidi potential win
 

Attachments

  • Screenshot_20260501_235530_DuckDuckGo.jpg
    69.3 KB · Views: 15
539MXR sportybet wataalamu wa kuedit asubuhi mkiamka mpitie hili jamvi muedit then muweke code hapa tumpapase kanji
 
Ndio shida yenu wabongo...... Mtoe cheza .... Ule
Sasa si bora wewe yani huyo jitu bandia tokea nianze kuchukua mikeka yake since 2022 almost miaka 4 hajawahi kula hata siku moja, siku hizi nikiona mikeka yake nakimbia vibaya sana. Ila mikeka ya kidi kudu ya basket ipo vizuri sana.
 
Mchawi wa leo..? Wazee tustuane kabisa mi namuhofia arsenal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…