Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Apigwe nduli Samia

57GWQ9
Mikeka yangu ya mamilioni inachanika naambulia huu upuuzi japo nimerudisha sh 5000 niliyo chea na kupata faida ya sh 6000...kama hii sh 11000 nitakula
 

Attachments

  • Screenshot_20260502-223223_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260502-223223_SportyBet.jpg
    85.7 KB · Views: 15
 
Jamaa anajitahidi sana ila kuna njemba inaitwa JITU BANDIA tokea nianze kuchukua mikeka yake since 2022 almost miaka 4 hajawahi kula hata siku moja, siku hizi nikiona mikeka yake nakimbia vibaya sana. Ila mikeka ya kidi kudi ya basket ipo vizuri sana.
Acha uongo mkuu kama sikosei mwezi wa 1 au 2 alipost code ya mkeka mmoja odds 160 mimi niliweka 1k nikapiga 176k sasa ambao hamfahamu kuna code za kuboost stake yaani cashout alafu kuna kuna mkeka wa kimkakati may be wa kustake 40k,50k,100k ambao unatafuta odds ndogo kam 2,3
 
Sportybet odds 5+
555E0W..hii ni yamotoo🔥🔥 kama una roho ngumu uchukue wote. Ila kama vipi ucheze single single maana basketball ukiweka timu zaidi ya moja risk ni kubwaaaa, kila la kheri tutaonana baada ya Misa ya pili🙏
 
Treni langu la odds 1600+ lilianza vibaya na kumaliza vyema, 3 lost out of 44

Mtafutano unaendelea ngoja nitulie tena
Screenshot_20260503_082042_betPawa%20-%20Sports%20Betting%20App.jpg
Screenshot_20260503_082055_betPawa%20-%20Sports%20Betting%20App.jpg
Screenshot_20260503_082101_betPawa%20-%20Sports%20Betting%20App.jpg
Screenshot_20260503_082111_betPawa%20-%20Sports%20Betting%20App.jpg
Screenshot_20260503_082128_betPawa%20-%20Sports%20Betting%20App.jpg
Screenshot_20260503_082139_betPawa%20-%20Sports%20Betting%20App.jpg
Screenshot_20260503_082150_betPawa%20-%20Sports%20Betting%20App.jpg
 
Tego Sportybet
69R82H..unaeza kucheza moja moja maana basketball kwa combo ni risky🔥🔥
 
Back
Top Bottom