Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Tujaribu hawa wamba .... Wapate kona mbili kipindi Cha kwanza ....
 

Attachments

  • coupon_81241421281_1035049.png
    360.7 KB · Views: 16
kuna swali nataka kuuliza, je Simba na Yanga wamewai kuachana kiasigani kwq point kwa miaka 10 iliyopita, yaani gape kubwa mmoja aliachwa kwa point ngapi
 
Me tokea nimeanza kuchukua code humu, mkeka ambao nimekula ni codes zako tu japo Huwa naweka hela ndogo sana kama kujifurahisha
πŸ™πŸ™ huwa nafikiri nabet peke yangu kumbe tupo wengi tunaoenda sambamba. Tuko pamoja mkuu umenitia moyo kuhakikisha nafanya analysis vizuri ya game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…