Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Apigwe nduli Samia

57GWQ9
Mikeka yangu ya mamilioni inachanika naambulia huu upuuzi japo nimerudisha sh 5000 niliyo chea na kupata faida ya sh 6000...kama hii sh 11000 nitakula
 

Attachments

  • Screenshot_20260502-223223_SportyBet.jpg
    85.7 KB · Views: 15
 
Acha uongo mkuu kama sikosei mwezi wa 1 au 2 alipost code ya mkeka mmoja odds 160 mimi niliweka 1k nikapiga 176k sasa ambao hamfahamu kuna code za kuboost stake yaani cashout alafu kuna kuna mkeka wa kimkakati may be wa kustake 40k,50k,100k ambao unatafuta odds ndogo kam 2,3
 
Sportybet odds 5+
555E0W..hii ni yamotoo🔥🔥 kama una roho ngumu uchukue wote. Ila kama vipi ucheze single single maana basketball ukiweka timu zaidi ya moja risk ni kubwaaaa, kila la kheri tutaonana baada ya Misa ya pili🙏
 
Treni langu la odds 1600+ lilianza vibaya na kumaliza vyema, 3 lost out of 44

Mtafutano unaendelea ngoja nitulie tena
 
Tego Sportybet
69R82H..unaeza kucheza moja moja maana basketball kwa combo ni risky🔥🔥
 
Tia hela acha uwoga ,uwoga wako mdio umasikini wako
 

Attachments

  • Screenshot_20260503-150946.png
    191 KB · Views: 19
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…