Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,815
- 3,821
Shukran ndugu yangu. Jana tena usiku kwa mbinde sana saa 6 usiku nimemuendea LIVE hatimaye akakubali kuachia, nilitumia pesa yao ya zawadi kila Jumatatu ikatoa aisee.Kihasibu tunasema Ulipata faida maradufu
Game za live ukimuotea kama hivi raha sana tatizo mudaShukran ndugu yangu. Jana tena usiku kwa mbinde sana saa 6 usiku nimemuendea LIVE hatimaye akakubali kuachia, nilitumia pesa yao ya zawadi kila Jumatatu ikatoa aisee.
View attachment 3595210
Yah kabisa kabisa kiongozi, ukiifumania huwa inatoa vizuri kabisa mkuu.Game za live ukimuotea kama hivi raha sana tatizo muda
Hatari nililifuata nimepata milioni 9Aisee Mnaijeria kamuumiza Kanji kwa treni la odds laki 2 limetiki babake...!
Mbona tunatamanishana uweke tuone huo mkeka ulio tickHatari nililifuata nimepata milioni 9
Wee ndio uliweka shilingi 149...?Hatari nililifuata nimepata milioni 9
Code za wanaijeria mnazipata wapi?Hatari nililifuata nimepata milioni 9
Twitter.Code za wanaijeria mnazipata wapi?
Mbona tunatamanishana uweke tuone huo mkeka ulio tick