Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Sasa si uwe unatuma codes sasa kuturingishia ndio nini???Huu niliweka 50, nikawahi kucashout
Uwe una-share codes na wana hapa jukwaani mkuu....!Jamaa yuko twitter anajiita 39billions kila siku anatoa mkeka wa timu 39 odds zaidi ya laki mbili. Mimi namfuatilia mwaka wa pili sasa hivi.
Ndio maana nimeweka handle yake hapo, mimi nafasi yangu kwasasa kuingia humu ni ndogo sana. 2018 na 2019 ndio nilikuwa ninashinda humu.Uwe una-share codes na wana hapa jukwaani mkuu....!
Wewe ni mgeni humu sinaga tabia ya kuringisha ushindi, kwanza hizo code ni za nigeria wanaachia kila siku ni universal,hata wewe unachukua tu.Sasa si uwe unatuma codes sasa kuturingishia ndio nini???
Nitajie account ya twitter mkuu maana vipigo mpaka kichwa kinauma.Twitter.
Ukiachana na huyo, mwengine nani wa kumfollow?Jamaa yuko twitter anajiita 39billions kila siku anatoa mkeka wa timu 39 odds zaidi ya laki mbili. Mimi namfuatilia mwaka wa pili sasa hivi.
39Billions...!Nitajie account ya twitter mkuu maana vipigo mpaka kichwa kinauma.
Ahsante kwa ku share39Billions...!
Mkuu umepotea Sana nazikimbuka live zako miaka ya nyuma hapo.Ndio maana nimeweka handle yake hapo, mimi nafasi yangu kwasasa kuingia humu ni ndogo sana. 2018 na 2019 ndio nilikuwa ninashinda humu.