Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Yaan Turkey lazima kikulambe
Yaan Turkey lazima kikulambe
ubaharia kivip mkubwa ?.
Tayari nime-cashout mdosi ka-double stake yangu nikaona nitoe tu.View attachment 3599854
First Half Away Odds 2.6 (15)''
Mbona hizo ni odds kama 18 hivi na sio 5 kama walivyoandika hapo juu???na ni kweli ni 100% au ni michosho tu maana watu tunataka tujilipue
Ujilipue kwenye droo alosuka mkeka unaona kastake 100 tuMbona hizo ni odds kama 18 hivi na sio 5 kama walivyoandika hapo juu???na ni kweli ni 100% au ni michosho tu maana watu tunataka tujilipue
Aliyepita na hi mikeka hapa kuna miwili bado inapumua. Kama uliweka elf 5 kwa kila mmoja cashout inasoma laki 4+.
Odds 124 zimetoa tunasubiria odds 90 bado mechi 1 tu.
Odds 124 zimetoa tunasubiria odds 90 bado mechi 1 tu.
View attachment 3600257