Ukiweza omba kabla nakwambia minding analiaaaaa hahahaaa kuna treni kaweka hizo juu mindi kachomoa ati edit zimechezqa na wengi ipo siku atasema poh tusaidiane kuweka mapema tuwahi
Leo nimekumbuka bet na hii ngumu kumeza ..hii mechi ya Kenya na Malawi nadhani Kenya inashinda au italata goal japo moja over 0.5 ina odds nzuri ila hapa nimeipq Kenya mazima kwa wale wenye kucheza pesa ndefu mnaweza kuipa Kenya over 0.5 tu