Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20260607-135357.jpg

Odds 56 saa 8 zinaanza. ATB.
 
Ila anatupuna aisee ukila laki Moja unairudisha na riba ya asimilia 100.
Alafu Kuna watu mikeka yao itatick Kila siku hapo ndio Huwa nashindwa kuelewa
Ukiwa na mtaji wa kueleweka Odds chache zinatoa sana, shida wengi mitaji yetu ni kidogo ndio maana unakuta unaweka odds za kutosha angalau dau linaloeleweka, ila odds chache mara nyingi huwa ni uhakika mkuu.
 
Kuna kipindi niliweka bajeti ya million 1.
Kwa ajili ya odds ndogo ndogo mwisho wa siku ikaisha yote nikaanza upya
 
Ukiwa na mtaji wa kueleweka Odds chache zinatoa sana, shida wengi mitaji yetu ni kidogo ndio maana unakuta unaweka odds za kutosha angalau dau linaloeleweka, ila odds chache mara nyingi huwa ni uhakika mkuu.
Ni sahihi lakini ukumbuke ni bahati nasibu. Niliwahi kuiweka bajeti ya laki moja tu nikajichanganya kumpa mwana jangwani akapita nayo
 
Stake ya juu ulikuwa unaweka kiasi na odds zilikuwa ngqpi nq ulikuwa unasuka mwenyewe au codes za wana...!
Mwanzo nilikua naweka elfu 50,000 odd 1.7 Hadi 2 nazitafuta, nikakuza mtaji Hadi 1.7 nikaona biashara si ndio hii nikaanza kujilipua kwa stake kubwa na odds kuanzia 10 sasa hapa ndio nilipopoteza.
Sikua na discipline nzuri ya uwekaji stake na odds kwa hasira za kutaka kurudisha hela.
Kuhusu odds nachukua kwa wakamaria Kuna nyingine zina boom ambazo unaweka stake ndogo ila ile ambayo inaonekana kabisa inaboom unajilipua kuweka stake bwangwa inachana
 
Ni sahihi lakini ukumbuke ni bahati nasibu. Niliwahi kuiweka bajeti ya laki moja tu nikajichanganya kumpa mwana jangwani akapita nayo
Hiyo laki moja ilipaswa uifanye kama mtaji, na siyo kuistake yote kwenye game moja, kwa odds ndogo, kama 2-3, unapaswa kustake asilimia 5-10 tu ya mtaji wako, hata kama utapoteza unakuwa na nafasi ya kujipanga upya.

Kiufupi ukienda na hiyo njia ya kustake kwa kuzingatia kulinda mtaji wako, betting utaiona ni rahisi sana na haitokupa presha, hata kama utakutana na vipigo, lakini itakuwa ni mara chache sana, unless others wise uwe haujui kabisa kubeti.
 
Back
Top Bottom