Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Haukuwa na strategies za kulinda mtaji wako, ndiyo maana ukaaishia kupoteza pesa yote hiyo.Kuna kipindi niliweka bajeti ya million 1.
Kwa ajili ya odds ndogo ndogo mwisho wa siku ikaisha yote nikaanza upya
Kwa huo mtaji ulikuwa na uwezo wa kuwa unatafuta 10000 tu au 20000 kwa siku , na ingewezekana kabisa hata kama usingekuwa una win kila siku, but kwa week naamini kabisa kumpiga mara 4 n.k ingewezekana kabisa.