Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20260611-122711.jpg

Saa4 mpaka saa 1 asubuhi. ATB.
GG No.
 
Wakuu hivi ni kweli ukiwa na account mbili alafu ukashinda kuanzia milioni kumi wanaweza wasikulipe hela.
Sportbet
Hakuna madhara ya kuwa na akaunti mbili unaweza kuzitumia zote bila shida kabisa.
Tatizo linakuja bookie wengi hasa wa kimataifa, wana sheria ambayo inawapa haki ya kukunyima ushindi wote iwapo utabainika kuwa na akaunti 2. Yaani hilo kosa sio kwamba watafanya odds kuwa void na kushuka mpaka 1.0 bali watakunyima mazima mpaka stake yako.

Hii itakuja endapo utashinda pesa nyingi wataanza uthibitisho wa utambuzi wako kama ID na umiliki wa akaunti zaidi ya moja nk.
Ukijichanganya kimekulamba.

Kama una ndoto za kupiga pesa nyingi siku moja, watajie ID yako waunganishe.
 
Asante kwa ufafanuzi, ndoto za kupiga pesa nyingi zipo na Huwa namkosa kosa kidogo sana.
Nafikiri niwaombe wafute account Moja nibakie na account Moja tu ili mambo yasiwe mengi.
Kwa sababu ata sportsbet nao kwenye mkataba wao niliona kwamba hawaruhusu mtu mmoja kumiliki account zaidi ya Moja.
 
Hakuna madhara ya kuwa na akaunti mbili unaweza kuzitumia zote bila shida kabisa.
Tatizo linakuja bookie wengi hasa wa kimataifa, wana sheria ambayo inawapa haki ya kukunyima ushindi wote iwapo utabainika kuwa na akaunti 2. Yaani hilo kosa sio kwamba watafanya odds kuwa void na kushuka mpaka 1.0 bali watakunyima mazima mpaka stake yako.

Hii itakuja endapo utashinda pesa nyingi wataanza uthibitisho wa utambuzi wako kama ID na umiliki wa akaunti zaidi ya moja nk.
Ukijichanganya kimekulamba.

Kama una ndoto za kupiga pesa nyingi siku moja, watajie ID yako waunganishe.
Kwani mtu akiwa na akaunti nyingi na kushinda kuna shida gani ? Kwa nini moja ya mashariti ya serikali yasiye ni kutokuwa na hiyo sheria kabla ya kuruhusiwa kufungua kampuni la beti ...hiyo sheria siyo ya haki hivyo ni kosa serikali kuruhusu hayo mashariti kwa muwekezaji ...waziri na serikali viangalie vigezo viwe vya haki ...ni wizi kumzuia mtu ushindi wake kwa kigezo cha account mbili...mtu anaweza kutokukumbuka kama ana account 2 ..pia kwa tz bado watu wanatumia vitamburisho vya watu au wazazi kusajili line .
 
Makampuni ya kubeti yanafanya kazi halisi kupitia odds wameshamaliza kwa kuweka ziwabebe wao.
Kila event moja wameshajiwekea faida ya zaidi ya 7% hadi 15% hivi haijalishi matokeo yatakuwaje.
Mara zote hawa jamaa wanataka tule hela yao kwa kubahatisha na sio kwa hesabu kali au kutumia teknolojia kucheza na odds zilizocheleweshwa.
Mtu mwenye akaunti 2 wanamchukulia kama anafanya arbing hata kama kwa kampuni moja haiwezekani.
 
"'Mara zote hawa jamaa wanataka tule hela yao kwa kubahatisha na sio kwa hesabu kali au kutumia teknolojia kucheza na odds""

👆👆👆Hii kauli ina ukweli mwingi sana
 
Back
Top Bottom