Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
Africa ya kusini inapata bao moja hivyo over 0.5 siyo mbaya odds ni 2+Naanza kwa kumfuata Mexico mazimaa. Natembea na Rollover ya wastani wa Odd 1.5 kwa 10k ndani ya wiki nione inakwendaje
Africa ya kusini inapata bao moja hivyo over 0.5 siyo mbaya odds ni 2+Naanza kwa kumfuata Mexico mazimaa. Natembea na Rollover ya wastani wa Odd 1.5 kwa 10k ndani ya wiki nione inakwendaje
Siyo kweli ni wahuni nimewauliza sportbety kama nina account zaidi ya moja wanashindwa kuniambia jibu ...kama ni kosa kwa nini nikiomba msaada wani akikie account, wanashindwa wanadai awawezi kujua kama nina account 2 kwa nini wasitumie system zao wakati wa usajili kuzuia mtu kuwa na account mbili ? Kwa nini wakati wa kujisajili kama unayo tayari account system isikuambie kuwa tayari unayo account hivyo hatuwezi kukusajili tena ?Makampuni ya kubeti yanafanya kazi halisi kupitia odds wameshamaliza kwa kuweka ziwabebe wao.
Kila event moja wameshajiwekea faida ya zaidi ya 7% hadi 15% hivi haijalishi matokeo yatakuwaje.
Mara zote hawa jamaa wanataka tule hela yao kwa kubahatisha na sio kwa hesabu kali au kutumia teknolojia kucheza na odds zilizocheleweshwa.
Mtu mwenye akaunti 2 wanamchukulia kama anafanya arbing hata kama kwa kampuni moja haiwezekani.
Ni mwendo tu wa lost ni balaa sanaLost
Ila ikitokea umeshinda hela ndefu wana uwezo wa kujua kama una akaunti zaidi ya moja, #MatakoYaoSiyo kweli ni wahuni nimewauliza sportbety kama nina account zaidi ya moja wanashindwa kuniambia jibu ...kama ni kosa kwa nini nikiomba msaada wani akikie account, wanashindwa wanadai awawezi kujua kama nina account 2 kwa nini wasitumie system zao wakati wa usajili kuzuia mtu kuwa na account mbili ? Kwa nini wakati wa kujisajili kama unayo tayari account system isikuambie kuwa tayari unayo account hivyo hatuwezi kukusajili tena ?
Nimewauliza swali lingine je kama nina account ambazo nimezisahau na nataka kuweka mambo sawa kuzifuta nibaki na moja natakiwa kufanyeje ? Wamekosa jibu ....maana yake wewe mchejaji ukiwa una account ambazo umezisahau maana yake awana msahada wowote bali ni wewe kuacha kubeti na hiyo kampuni !
Washenzi sana....na serikali zinao uwezo wa kuweka kanuni sahihi kwa haya makampuni ila wamekaa tu kama malofa...Ila ikitokea umeshinda hela ndefu wana uwezo wa kujua kama una akaunti zaidi ya moja, #MatakoYao
Kwa hii mechi ya jana ..afrika Kusini kukosa hata bao moja ni dalili kuwa team zote za africa hakuna hata moja itakayo shinda mechi hata moja na kama ipo basi ni mechi moja au mbili tu. hivyo hapo bet inatakiwa kuzipa team za kigeni ushindi au kuzipa team za africa handicap ya bao 3 hadi 4 mkononi ..team karibu zote za africa zitapigwa bao siyo chini ya mbili hivyo over 1.5 ni option nzuri au team zisizo za africa win ... team za africa hata kuambulia draw itakuwa ni bahati sana.Africa ya kusini inapata bao moja hivyo over 0.5 siyo mbaya odds ni 2+
Mliofuata huu hongereni...!
Ni balaaaNi mwendo tu wa lost ni balaa sana