haipoHakuna kona hapaa
.mkeka unakuwa losted na kona 1 arrrgggghhhhhhhhaipo
Tunakusubiri mkuuIle kona 1 isingekataliwa daaah.
Sasa nadaiwq 1 n boom
Hii 1 ikitoka natoa 10K humu kwa kila member
dakika ya mwisho kuna kona imegomaHakuna kona hapaa
Haijatolka kona kk 😄😄😄Tunakusubiri mkuu
Betting uduanzi sanaa.dakika ya mwisho kuna kona imegoma
😅😅😅 kuna muda inabidi ucheke kwa kuliaa.Dk 90 hakuna kadi hata moja France vs Senegal aisee.
Weka vitu tufute machoziKama umwchana mkeka nina odds 3 za uhakika
Nielekeze namna ya kutengeneza bet builder Helabet maana siioni.Sijuhi bet bulider n kitu gani? Ila najua kutumia bet builder kama ya sportbet.
Kama bwt bulider n uwezo wa team 1 kutokea mara 3 katika mkeka m1.basi naweza sema helabet ndiyo ya lwanza kuwa na bet builder.
Maana kwenye helabet team 1 inaweza tokeza mqra 2 hadi 3 katika single mkeka
Oyaa umeamini mrusi ana opt nyingi sanaa?Weka vitu tufute machozi
Ttz jf haina voice bottons.Nielekeze namna ya kutengeneza bet builder Helabet maana siioni.
Yaa nimeona zipo nyingi ukifanya uchambuzi vzr unakuwa unauwakika wa kula dailyOyaa umeamini mrusi ana opt nyingi sanaa?
Kesho tunaenda na save tuhepushe presha asee