Aisee, Jamaa Hongera kwake kaka.
Mzee wa E na V...!Mmh hapana simjui huyo aise
Sijawa na passion ya kubet kiasi cha kuwa kwenye group lolote la betting
Siyo Group la betting, ila Huwa anashare code mara chache akitulia.
Na pigo zake ni kama wewe hapa Jf.
Ila sawa
E na V ndo nini?Mzee wa E na V...!
Huwa anaweka code tu Kwa wiki anaweza kuweka mara mbili hivi, japo kuwa lile siyo group la mikekaAnashare vipi code bila group sasa?
Haha. Bet for funny.Oyaaa mkuu KUNI njoo utuokoe huku hali ni mbaya sana
eFootball na Virtual my dear...!E na V ndo nini?