Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkeka nili upost apa
 

Attachments

  • 1783014752665.jpg
    1783014752665.jpg
    62.3 KB · Views: 18
Kaka nakubali basketball Sana hasahasa za live,kuna pesa nyingi ukiwa makini lakini football uhuni ni mwingi
Daah leo nimezipiga sana Fiba qualification kesho hapo.

Mechi za usa
KAma unatumia apps za mrusi
Winning margin tia over 2.5 smallest winning
 
Odds za wawwkezaji
Nilisema chaka.la offside muwe mnalitumia
Ttz humu watu mnawahi kukata tamaa.

Leo tumekimbiza hadi mikeka ya odds 10 kwa single.
Kwenye channels baadhi unakuta leo sherehe
 

Attachments

  • Screenshot_20260703_000541_Helabet.jpg
    Screenshot_20260703_000541_Helabet.jpg
    119.6 KB · Views: 10
Daah leo nimezipiga sana Fiba qualification kesho hapo.

Mechi za usa
KAma unatumia apps za mrusi
Winning margin tia over 2.5 smallest winning
Kitambo Kaka Ila nataka nianze,Hebu nipe no yako inbox kaka kapo mm sio mjuzi Sana lakin basketball kuna pesa nyingi ukituliza kichwa
 
Odds za wawwkezaji
Nilisema chaka.la offside muwe mnalitumia
Ttz humu watu mnawahi kukata tamaa.

Leo tumekimbiza hadi mikeka

Odds za wawwkezaji
Nilisema chaka.la offside muwe mnalitumia
Ttz humu watu mnawahi kukata tamaa.

Leo tumekimbiza hadi mikeka ya odds 10 kwa single.
Kwenye channels baadhi unakuta leo sherehe
Mkali Wa hizi kazi
 
Odds za pesa za haraka hizi kuna channel zinakuwa sherehe ziki boom
 

Attachments

  • Screenshot_20260703_002803_Helabet.jpg
    Screenshot_20260703_002803_Helabet.jpg
    137.8 KB · Views: 12
Match 4 odds 12.
 

Attachments

  • Screenshot_20260703_052341_Helabet.jpg
    Screenshot_20260703_052341_Helabet.jpg
    146.6 KB · Views: 12
HEla ya sup game ya muda huu.
chimbo la offside n 89% kutoa

Most off side sec half odd 2.4
Keper to touch odd 1.6
Zidisha odd hapo
 
Back
Top Bottom