Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

First happen thrown in huwa inatoaga sana hii opt ni best pick.

KEeper touch nayo n best zaidii
Njia rahisi.

Una select mechi 2.
Keeper touch odds 2.6
Throw in odd 2.8
 
WAliopo bar na wabwtiji wa live.
Hii opt ya live events ni unyama sana
Inacheza dk 10,10 oibunda unachukua
 
Okay
 
Odds za kiuwekezaji hizo, 3,3 kwa 12.

Leo watu wa no goals nendeni na team zote kasoro za australia tu wale hawaeleweki wanafungana ovyo ovyo ile ligi huwa siielewi niliachaga kubetia
Wale dk ya 80 wanweza kuwa bila bila halafu dk ya 90 ukakuta wamefunga 10.
 

Attachments

  • Screenshot_20260704_132634_SportyBet.jpg
    148.5 KB · Views: 15
International club.
No goal kuanzia dk ya 70 wanatoa sana maana wanacheza kifaza kila mtu hataki kuumia pasipo sababu.

Japan wanatoa dk 78
Korea hawa dk ya 60 tu washaridhika

Leo pesa za haraka zipo kwenye hizi ligi.
Either uwe muwekezaji au usake odds elfu kwa buku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…