Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Possible zangu hizo hapo wakuu
ONly for
apps za mrusi zote.
Helabet
Xbet
Na wengineo

Kws wale wawekezajiii
Muwe mnasema niwe naweka codes za kampuni gani?
Kama wewe muwekezaji na ulifuata opt zangu kati ya 8.
Zimetoka 6.

Wale wa odds 4,3 wametoa.

SEmeni nitumie apps gan kuweka code??
Spwcial kwa wawekezaji.

Ila msisambaze sana code au opt zisije chafua soko.
Ile opt ya offiside lile chaka ni fireee sanaaa
 
Hizi opt zote zimetoaa aiseeh
 
Attachments

  • Screenshot_20260704_191228_1xBet-tz.jpg
    Screenshot_20260704_191228_1xBet-tz.jpg
    140.8 KB · Views: 15
  • Screenshot_20260704_220647_Helabet.jpg
    Screenshot_20260704_220647_Helabet.jpg
    139 KB · Views: 17
  • Screenshot_20260704_220620_Helabet.jpg
    Screenshot_20260704_220620_Helabet.jpg
    145.6 KB · Views: 12
  • Screenshot_20260704_190459_Helabet.jpg
    Screenshot_20260704_190459_Helabet.jpg
    102.2 KB · Views: 10
  • Screenshot_20260704_191009_1xBet-tz.jpg
    Screenshot_20260704_191009_1xBet-tz.jpg
    122.3 KB · Views: 10
Nakubali ni kamari sawa. Ila hii hapa upo nayo wrong mkuu.
Throw in???
Kama shida odd 3 ni rahisi kona kutokea ndani ya dk 10 kuliko thrown kugoma
Hapo nimezuia throw in isiwepo ndani ya sekunde 60……………Kwa timu zinazo possess mpira kwa sana kama France, England, Spain, Brazil nk mbona inatoa sana tu

Ndani ya sekunde 60 ni possible kabisa kutokea mpira haujatoka throw in

Mwisho wa siku hii ni BAHATI NASIBU TU hakuna option ambayo ina UHAKIKA
 
PAra mgumu.kutoa nje ila france mwepesi sana
Natamani niendeleze.kutia pesa ssma nimefika.limit ya ku bet kwa sik7
 
Hapo nimezuia throw in isiwepo ndani ya sekunde 60……………Kwa timu zinazo possess mpira kwa sana kama France, England, Spain, Brazil nk mbona inatoa sana tu

Ndani ya sekunde 60 ni possible kabisa kutokea mpira haujatoka throw in

Mwisho wa siku hii ni BAHATI NASIBU TU hakuna option ambayo ina UHAKIKA
Picha limeanza tu, throw in hiyoo
 
Nakubali ni kamari sawa. Ila hii hapa upo nayo wrong mkuu.
Throw in???
Kama shida odd 3 ni rahisi kona kutokea ndani ya dk 10 kuliko thrown kugoma
Opt ya kona under 5min imetoa na ilikuwa na odds 3.4

Kuna opt za odd nyingi lakini possibly ya kutoa ni kubwa wawekezaji wa bongo sijuhi mnakwama wapi
 
Back
Top Bottom