Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Odds2-5 nazimudu kama vp tuanzeni rollover round Tano TU then tunaangalia kilichopatikana
Sawa. Atakayepost hizo rollovers, awe mtu makini anayejua nini anafanya. Apost mapema, ikiwezekana asubuhi, watu wakiamka wakute code ya rollover.

Watakaopitwa na rollover kwasababu ya ubize wa kazi, itakuwa bahati mbaya kwao. Na watakaowahi, basi bahati kwao.

Kama vipi tuanze hata leo, ikiwezekana sasa hivi. Hakuna kupoteza muda.

Anayejiona anajua nini anafanya, atuwekee hapa code ya day 1 rollover. Hili zoezi halina mtu maalum, yeyote anapost code ya rollover.
 
Odds2-5 nazimudu kama vp tuanzeni rollover round Tano TU then tunaangalia kilichopatikana
Kama unaweza, anza kupost day 1 rollover leo.

Kesho ukitingwa na kazi. Day 2 atapost mtu mwingine. Ikitokea kesho hakuna wa kupost day 2 rollover, basi day 2 itapostiwa keshokutwa.

Ikitokea keshokutwa hakuna wa kupost day 2, basi hata mtondo goo. Hivyohivyo, mpaka rollovers 5 zikamilike.

Hakuna kujilimit wala kujibanabana. Cha msingi rollovers 5 zitimie
 
Odds 9
Screenshot_20260711-122407.png
Screenshot_20260711-122353.png
 
Madman codes:


Angalizo...!


Hii ni kwaajili ya wote waliojitoa akili!...

Walioweka akili pembeni ili wafanye mambo mengine yasiyo ya msingi!...tusilaumiane baadae!...ukiiweka hii!

Kama 2000 ni hela yako ya bando...please kaa mbali na hii code!...

ingawa sikupangii matumizi!...maana hela yako sikuitafuta mimi!.. jichochee mwenyewe ila tusilaumiane baadae!
1000148347.jpg
 
Back
Top Bottom