Mzibua Vyoo
Senior Member
- Nov 8, 2023
- 172
- 384
Naona imetoka hii
Kwa humu JF. Rollover tulianza jana. Mmojawapo humu kajitolea ya day 1, lakini haikuwa bahati kwetu, tumeenda na maji.Zile mbwembwe za roll over sijui zimeishia wapi maana duuh.....
Karibuni sanaaWazee wenzangu karibuni tuweke mikeka
Kijiwe kimepoa kama kafa shogaWazee wenzangu karibuni tuweke mikeka tena leo
Watu wananyooshwaa hasaa,Kijiwe kimepoa kama kafa shoga
PamojaWanazengo wa huu mtaa mpo? Mm napita tu kuwapa hi maana toka jf ifungwe na washenzi wale ndio narejea tena, haya mapambano yaendelee mwez wa 8 unakuja huo mwez wa hela kwa wawekezaji!