Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tupe code huu mimi pia natumia fansport
Screenshot_20260901-120342.jpg
 
Lawama hizi makampuni ya kubeti. Hapo alikuwa anaongoza Namungo wao wameweka anaongoza Singida. Ukiziotea hizi odds baadaye wanakuwekea madeni kwenye akaunti
Screenshot_20260901-192230_1xBet.jpg
 
Alikuwa anaongoza singida OG, kidogo ikawa namungo ndiye anaongoza hii noma
Wiki iliyopita
Alikuwa anaongoza singida OG, kidogo ikawa namungo ndiye anaongoza hii noma
Wiki iliyopita nilimpa azam ashinde 1H, wao wakaniwekea win kabla mechi haijaisha, wakati geita wanasawazisha na kuwa 1-1 dakika ya 44 mimi washanilipa hela. Nikachanganya faida na mtaji fasta nikabetia 16,000 ikakubali. Nikajaribu kubeti 4000 nikaona washasawazisha na
Screenshot_20260901-194806_Gallery.jpg
Screenshot_20260901-194558_1xBet.jpg
kuniwekea deni 5999.

Ule mkeka ulivyotiki tu wakakata chao.
 
View attachment 3661487
Haya mambo haya ... Haka kaoption nakaonaga nakaacha ...Leo nkasema aaah kwani Nini ngoja nikajaribu kametoa .... Ila hii optio IPO kwenye zile ligi Kubwa TU, Europa, conference, uefa na championship tu.
Naona mkeka wa jana fansport wa odds 80 umeloose suka mwingine odds chache tubahatishe.
 

Attachments

  • Screenshot_20260902-095230.jpg
    Screenshot_20260902-095230.jpg
    106.1 KB · Views: 11
  • Screenshot_20260902-095235.jpg
    Screenshot_20260902-095235.jpg
    112.8 KB · Views: 11
  • Screenshot_20260902-095220.jpg
    Screenshot_20260902-095220.jpg
    103.9 KB · Views: 10
Back
Top Bottom