Wakubwa odds mbili kama ile ya nauli. Mungu awabarikiJana watu wame boom sanaa.
Ngoja waje wazee wa odds 2.Wakubwa odds mbili kama ile ya nauli. Mungu awabariki
Hii nafikiri imetoa✔5U39FK..Sportybet
Zilitoa hizi sio 👊Game tafu afu nimeruka nazo maz7ma leo ni ya
Chelsea
Sporting cp
Arsenal
Livepol
Game ni 4 zina odds 10 hizo walau
Yeah lakini nashukuru sikuomba magoliceltic,Arsenal wametoa kagori ka moja
mm hapa ningepokea rushwa huyo mapema sana😀😀Sipokei rushwa Leo Hadi kieleweke
Ilikua imebaki game Moja alafu mda huo inaongoza goal 2:0 unapokeaje ruushwa hapomm hapa ningepokea rushwa huyo mapema sana😀😀
Naona 1cut imetunyima pesa wadau.
Haalfu nili zi rebet baada ya kufungwa zikawa na odds 40+ na zikatoaZilitoa hizi sio 👊
Mkuu Unaangalia pilau uku unasuka mkeka😀😀 ndio maana mikeka inachanikaView attachment 3667448Hizo 3 naona kama zitatoa, kuna braga yupo chini huko nina mashaka naye
Hahahaha! kazi ngumu hii inabidi kusafisha machoMkuu Unaangalia pilau uku unasuka mkeka😀😀 ndio maana mikeka inachanika
mpe over 2View attachment 3667448Hizo 3 naona kama zitatoa, kuna braga yupo chini huko nina mashaka naye
Mimi nilimpa ashinde angala half moja alikuwa na odds 1.36mpe over 2