Hii michezo hii kona 1 tu yaani kona 1 tu second half team haitoi kona sasa uwanjani walifata nini???Ligi ilivyoanza nilipigwa laki6 mfululizo ikafikia kipindi nikaona nipumzike maana si kwa kipigo kile . Team 2 na Bado zilikua zinachana 😄
PSG , Liverpool, man UTD na zilikua zinacheza na vidagaa tu .
Atleast hii Sept nilirudisha hela yangu.
Ilifika kipindi nikawa Sina Imani na betting pamoja na uzoefu wote wa kula na kuliwa