Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii michezo hii kona 1 tu yaani kona 1 tu second half team haitoi kona sasa uwanjani walifata nini???
 

Attachments

  • Screen_Recording_20260929_234231_Helabet.mp4
    12.4 MB
Rasmi kesho naanza ku beti team 1,1
Kuna kipindi nilikua na discipline ya betting haswa ilikua ni odds 4 up to 6 halafu asian handicap nilikua Sina Imani kabisa na team yanii ni kujivalisha ngao za kutosha yaani full kujilinda haijalishi team ni kubwa kiasi gani , Na nilikua nakula haswa hizi laki laki Kila week .

Ile discipline sijuii imepotelea wapi πŸ˜‚πŸ˜„
 
Hiyo consistency ndio inatakiwa utuletee uku jukwaani.
Mimi nimechungulia betting history nilizo lost mwezi huu wa 9 imebidi ni delete history yote maana ni huzuniπŸ˜‡
 
Aisee hii ni hela
Rasmi kesho naanza ku beti
Niliacha kubet directly win nikawa na bet matukio, naona sasa mstukio yameanza kunifelisha mwanetu
 
Mfululizo week nzima hizi game za ulaya first half hakuna Sub wala medical team leo nimeweka no medical team first half nashangaa dk ya 2 mtu kadondoka team imeingia uwanjani.
Asa najiuliza ni nguvu inakupelekea uweke hiyo opt au?
🀣🀣🀣An option unayochagua hiyo siku lazima ichane ***** dah
 
Hawa vunjabeibet wanatisha hawa, yaani kampuni haina hata mwaka lakini wanataka kufanya marekebisho kwa wiki nzima na utaruhusiwa kutoa hela tu bila kuweka na kubeti! Mbona wenzao wakongwe huwa wanafanya marekebisho kwa usiku mmoja tu.
 
Hawa vunjabeibet wanatisha hawa, yaani kampuni haina hata mwaka lakini wanataka kufanya marekebisho kwa wiki nzima na utaruhusiwa kutoa hela tu bila kuweka na kubeti! Mbona wenzao wakongwe huwa wanafanya marekebisho kwa usiku mmoja tu.
🀣🀣Ya mswahili au!!,, achana nayo mkuu au kuna option ambazo hazipo sportybet na betpawa zinapatikana huko πŸ€”
 
jaribuni hii wakuu hapo mnaweza ongeza game ya sporting ya wamama apate goli moja 0.5,,na game ya benfica ya wamama zipatikane goli mbili kwa saivi sportybet wamefunga masoko hayo sijui kwa kampuni nyingine naona wataachia mechi zikianza.
 

Attachments

  • Screenshot_2026-09-30-21-21-31-142_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    90.3 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…