Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haya mambo hatari🤔
 

Attachments

  • Screenshot_20261006-135600.jpg
    113.1 KB · Views: 12
Betway
Hio nisaidie sportybet
3 odds

BW77B77ADA

3 ODDS... walero

Let's Go 🔥🥳🥳🥳🥳
 
Aaah,Ooh, sijui angalia statistics za home to home...waaapi!


Kmmmk! Home to home hiyo hapo sasa!
 
Naomba na hii mkuu kwa sportbet
1WIN CODE
SAFETY ODDS 32.29🎊✌️💯👇🏼💲
l: sQjsg919
30+ odds are ready stake with a huge amount💷💯🔥✌️
Mkuu tumia hii link
 
Pdidy
Hii code sQjsg919 sijui ni aina gani ya mashindano
 

Attachments

  • IMG_0268.png
    331.9 KB · Views: 7
  • IMG_0269.png
    293.6 KB · Views: 10
Hawa Spain vipi mchezaji to score mwenye ndogo ana 1.8 , siwaelewi Hawa vijana wa Asmodeus.
 
Croatia leo kaja na mpango mwingine kabisa, mpaka sahv spain shot on target 0
 
Kumbe kwa spain sipo peke yangu leo hii kazi qmamke
 
Huu ndio mpira

Na NDIO maana Serikali inabidi ituundie Wizara ya WAWEKEZAJI Waziri wetu Baba Levo

Croatia alipigwa chuma 7 kwa Bila na England,huyo huyo England alipigwa 3 kwa 2 na Spain, maninaa halafu leo Croatia anaondoka na Roho ya Mjane daadeki

Hii Kazi ina Raha yake,yaani MIMBA inaingia unaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…