Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 3,775
- 10,094
Dah pole sana bwashee hii notification ndo naichungulia Germany ndo kaangusha hapoWakuu mpo poa mkipita hapa mnishauri kabla ya odds kupanda,nataka ku stake hii mikeka miwili kwa kiasi kikubwa hofu ni je nitatoboa kweli?
Mechi ni za over 1.5 na over 0.5 ila hapa namuhofia
greece vs germany over 1.5 na wales vs denmark over 1.5 je nitatoa kweli?
nifanyaje wakuu nataka kuweka stake nzuri ushauri wenu msaada wakuu msiache kutia neno ukiona,uchambuzi hapo wakuu
Jitu Kabejabe
Ulete1
Joanah
JITU BANDIA
Ser
Mlatino Zeshalo
kidi kudi
Niache Nteseke
Shin Lim
Pdidy
itscowboy98
Palac
Vien
Prostar
aise
View attachment 3683358