Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 28,058
- 54,592
😂😂😂 bora umesema ya moyoni thanks mkuu huu pia ni ushauri mzuriIngekuwa league matches...ningekushauri kitu
Lakini kwa timu za taifa...no! Sitaki kushiriki hiyo dhambi ya kupoteza pesa ya mtu!
Stake at your own risk!.
National teams hazitabirikagi.