Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

England leo hana mchezo
 

Attachments

  • IMG-20261003-WA0000.jpg
    IMG-20261003-WA0000.jpg
    92.4 KB · Views: 6
Ku combine game zote ni risky. Nashauri weka moja moja ila kama unaweza kuhandle risk jilipue kama mimi
Screenshot_20261004-064612_Chrome.jpg
 
Wakuu mpo poa mkipita hapa mnishauri kabla ya odds kupanda,nataka ku stake hii mikeka miwili kwa kiasi kikubwa hofu ni je nitatoboa kweli?

Mechi ni za over 1.5 na over 0.5 ila hapa namuhofia
greece vs germany over 1.5 na wales vs denmark over 1.5 je nitatoa kweli?

nifanyaje wakuu nataka kuweka stake nzuri ushauri wenu msaada wakuu msiache kutia neno ukiona,uchambuzi hapo wakuu

Jitu Kabejabe
Ulete1
Joanah
JITU BANDIA
Ser
Mlatino Zeshalo
kidi kudi
Niache Nteseke
Shin Lim
Pdidy
itscowboy98
Palac
Vien
Prostar
aise
IMG_5669.png
 

Attachments

  • IMG_5670.png
    IMG_5670.png
    694.8 KB · Views: 8
Wakuu mpo poa mkipita hapa mnishauri kabla ya odds kupanda,nataka ku stake hii mikeka miwili kwa kiasi kikubwa hofu ni je nitatoboa kweli?

Mechi ni za over 1.5 na over 0.5 ila hapa namuhofia
greece vs germany over 1.5 na wales vs denmark over 1.5 je nitatoa kweli?

nifanyaje wakuu nataka kuweka stake nzuri ushauri wenu msaada wakuu msiache kutia neno ukiona,uchambuzi hapo wakuu

Jitu Kabejabe
Ulete1
Joanah
JITU BANDIA
Ser
Mlatino Zeshalo
kidi kudi
Niache Nteseke
Shin Lim
Pdidy
itscowboy98
Palac
Vien
Prostar
View attachment 3683358
Game ya Denmark vs Wales binafsi ningekushauri umfuate Wales kwa Under 1.5 goals
 
Game ya Denmark vs Wales binafsi ningekushauri umfuate Wales kwa Under 1.5 goals
Sema nini mkuu under huwa inazingua nimekua nikiitumia ila game hubadilika kutokana na presha ya siku husika tho nashukuru kwa ushauri huu, vipi nikimpa hapo denmark goli moja?na vipi kuhuusu Greece vs German
 
Mkuu ukianza kuomba ushauri sana kuhusu mkeka wako na stake unavyotaka kuweka utapoteza focus na mkeka ukichanika utakuja kulaumu watu.
Wewe weka ambavyo unaona inafaa kwa upande wako alafu tulia tukutane kwa wakala
Kila mtu ana namna yake anavyo angalia mchezo kuna factors naweza nisiangalie na kuna factors mwingine akaziona unajua tunatofautiana mitazamo na uzoefu ila maoni yanaweza pia kufanana, wewe ungetulia tu uache wenye uzoefu watie neno wapo watu wanaona vyema mkuu
 
Wakuu mpo poa mkipita hapa mnishauri kabla ya odds kupanda,nataka ku stake hii mikeka miwili kwa kiasi kikubwa hofu ni je nitatoboa kweli?

Mechi ni za over 1.5 na over 0.5 ila hapa namuhofia
greece vs germany over 1.5 na wales vs denmark over 1.5 je nitatoa kweli?

nifanyaje wakuu nataka kuweka stake nzuri ushauri wenu msaada wakuu msiache kutia neno ukiona,uchambuzi hapo wakuu

Jitu Kabejabe
Ulete1
Joanah
JITU BANDIA
Ser
Mlatino Zeshalo
kidi kudi
Niache Nteseke
Shin Lim
Pdidy
itscowboy98
Palac
Vien
Prostar
aise
View attachment 3683358
Ingekuwa league matches...ningekushauri kitu

Lakini kwa timu za taifa...no! Sitaki kushiriki hiyo dhambi ya kupoteza pesa ya mtu!

Stake at your own risk!.
National teams hazitabirikagi.
 
Back
Top Bottom