Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

🤣🤣🤣
Haya chagua first half over 0.5
Option ya pili gg
Option ya tatu over 2.5
Option ya nne HOME OR AWAY
Or No any team to score 3 in Row
Stattgut sio lille mjue ni wagumu hao jamaa bayern anajua
 
Mmeshindwa kunijibu hadi leo wakuu?
Yani unaweza ukafuata mikeka ya punter ukachezea vipigo hadi mtaji ukakata unaona yamekushinda unakaa pembeni kwa muda! Kesho punter anaendelea na kazi kama kawaida na stake mlima. Hovi inakuaje?
Ndio maana wanakuja na malink na ma promo code. Mkeka alio-share ukichanika, anapata mapato kulingana na jinsi familia aliyounganisha kupitia link na promo zake ilivyoliwa. Kwahiyo watu walikiwa yeye anapata kamisheni kwa bookie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…