Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Ilaaa kubeti ni kazi sana ..mkeka niliuamini na kutia 15 kufukuzia 80 umechana halafu wa buku jero umetoa 75 ...π€£π€£ππππππ
Haya kumekuchaaaa
Mawakala leo wapo wazi mapemaaa