Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,815
- 3,821
Saa 4 kamili mpaka 5 na nusu. ATB...! 🙏🏾
Hii option umebeti lkn hujui maana yake, ukiangalia kwenye hizo points kila set utaona kuna set mbili zinafanana points, 40 kila moja maana yake 1.5 over na sio under kama ulivyowekaKuna MWENYE jibu kwanini wameweka lost
Nawacheki majibu yao siyaelew
Mkeka wa subs not to score umetoaa , huo wa yellow card sijajuaHuu mkeka umetoa??
Kacheua Kanji, ngoja nile break kidogo hii week angeniua huyu mbwa 😂Wazee kesho Bayern hatoi goal 3? Nataka kuchukua odds zao 1.81 na za goal moja kwa Madrid niwe na odds 2 niweke figo moja nipate 2
Quarters ya 2 na ya 3 totals points 40 so ni over 1.5Kuna MWENYE jibu kwanini wameweka lost
Nawacheki majibu yao siyaelew
Alooo ... Hili lilikata ..tumetoboa na SUBSTITUTE TO SCORE NO..Hili dude naona kama limeenda
Robo ya pili na ya tatu zote ni point 40.. na chaguo lako ni kusiwe na robo yeyote mbili kulingana..umegongeshwa vizuri TUKuna MWENYE jibu kwanini wameweka lost
Nawacheki majibu yao siyaelew
Braga na Sporting ni makumerHizi timu za Portugal zimeanza umalaya nini? Matokeo gani haya tena mechi 2! Na zote zimepigwa kuanzia first half.View attachment 3698708
Kuna mwamba alisema tusiende kwa wakala sijui anawezaje🤣🤣😂😂😂😂😂😂
Haya kumekuchaaaa
Mawakala leo wapo wazi mapemaaa