Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,020
- 2,451
Mikeka ya ipo siku
Mikeka ya ipo siku
Shekhe dondosha namba PM nikugawie mchuzi kidogomichafu na yenye uongo kwa ushahidi wa Qawl ya Allaah (Subhaanahu wa Ta’aalaa):
وَالَّذِينَ لَا يَشْهَدُونَ الزُّورَ وَإِذَا مَرُّوا بِاللَّغْوِ مَرُّوا كِرَامًا ﴿٧٢﴾
Na wale ambao hawashuhudii uongo, na wanapopita kwenye upuuzi hupita kwa heshima. [Al-Furqaan: 72].
Vikao vya kamari vinakusanya uongo, dhulma, wasiwasi na hakuna chochote ndani yake ambacho kina faida ya kidini. Hivyo vitendo vyao ni vya uongo, na kuvishuhudia kunamaanisha kuvifanya.
YES...!Mikeka ya ipo siku
kumshawishi mkamaria ni ngumu sana.Probability ya kumpiga kanji endapo utatumia dau kubwa kwa timu 1 au 2 ni kubwa sana kuliko kumpiga parefu kwa dau dogo kama mtacheza mara nyingi mfano zaidi ya mara 100. Endapo utafanya ubashiri kwa muda mrefu unakaa upande wa kupoteza zaidi.
Timu 1 ina asilimia 50 kutoa ukiongeza ya pili probability inashuka inakuwa asilimia 25 ukiongeza ya 3 inashuka zaidi mpaka asilimia 12.5, ndio maana kanji kadri unavyojaza timu anakupa motisha maana anajua upo ktk mtego wa mchawi mmoja kukuchania.
Weka code mkuu, marekebisho atafanya kanji hukohuko
Allthebest. Hiyo option kuna siku unakuta refa kachanganyikiwa ni kumwaga yellow tu first half mi kadi kibaoView attachment 3698129
Leo nimezama chaka la yellow 🟡....ni mwendo wa mtafute mtafute...
Allthebest. Hiyo option kuna siku unakuta refa kachanganyikiwa ni kumwaga yellow tu first half mi kadi kibao
Pdds ngapi pale juuView attachment 3698134
Nimeishi humu kwa normal Leo.... Jana bodo fala sana ... Nikaweka waliobaki
View attachment 3698136
Nikamrudisha tu hela yangu.. maana zilishapita timu 6 zilikuwa 11 ..1,5M.... Nikaweka 5000....msenge sana Bodo...
View attachment 3698129
Leo nimezama chaka la yellow 🟡....ni mwendo wa mtafute mtafute...
Odds za leo 5Pdds ngapi pale juu
Mkongwe kazini ... naomba code ya hii betslip twende pamoja.
Jessy na wadudu wa a miguu 4Dunia ni flat Mudi boy and Allah